![]() |
Mshambulizi wa Barcelona, Neymar Jr |
By SHIM SHELDON
Mahakama nchini Uhispania yataka winga matata wa
Barcelona Neymar Jr kutumikia kifungo cha miaka miwili kufuatia ufisadi
uliotokea katika uhamisho wake wa mwaka 2013 kutoka Santos ya Brazil.
Neymar kwa sasa apo katika hali ya wasi wasi,kufuatia pendekezo hilo
No comments:
Post a Comment