Wednesday, 16 November 2016

JURGEN KLOOP AZUNGUMZIA UBORA WA MIAMBA WA ANFIELD

Jurgen Kloop kocha wa timu ya  Liverpool
Na Sheldon Shimekha

Mkufunzi wa miamba ya Anfield Jurgen Kloop ,amezungumzia kuhusu ubora wa timu yake, akisema kuwa ina Uwezo wakuwa  mabingwa wa ligi kuu Uingereza.

Liverpool ambayo iko kileleni mwa ligi kufikia sasa,imekuwa katika ubora kutokana na ushindi wa mechi za hivi karibuni.

Hata hivyo Liverpool watakabiliwa na upinzani kutoka kwa Chelsea, ambao pia wako katika ubora kufikia sasa.

No comments: