![]() |
| Wafungwa katika gereza kuu la Naivasha |
Ben Kirui
Wafungwa wanaohudumu kifungo cha kifo katika gereza kuu la
Naivasha wameelezea kutamaushwa na adhabu mpya ya kunyongwa iliyotolewa na
idara ya mahakama.
Wafungwa hao wamesema kuwa agizo
hilo litaathiri maisha yao gerezani wasijuwe la kufanya.Wakikariri kwamba iwapo
hukumu hiyo itatekelezwa hamna haja wao kushiriki shughuli za kurekebisha tabia
gerezani humo.
Gereza hilo lina wafungwa 3500 wengi
wao wakihudumu kifungo cha maisha huku wengine wakisubiri hukumu ya kifo.

No comments:
Post a Comment