![]() |
| Mwanaume amuua bibi yake kabla ya kutoroka |
Ben Kirui
Polisi katika kijiji cha Magao kaunti ya
Homa Bay wanamsaka mwanaumme mmoja kwa madai ya kumuua bibi yake na kisha
kumzika.
Kulingana na walioshuhudia kisa hicho,
mwanamme huyo ambaye ni mvuvi alimgomga bibi yake usoni akitumia kifaa butu
kabla ya kumkata sehemu zake za siri.
Akithibitisha kisa hicho, kamanda wa
polisi kaunti ya Homa Bay John Omusanga amesema kuwa mshukiwa alitoroka baada
ya kutekeleza kitendo hicho cha unyama.

No comments:
Post a Comment