Wednesday, 1 June 2016

SIASA ZA MAHAKAMA YA JUU


Mahakama ya Juu nchini


Ben Kirui

Ubabe wa kisheria unatarajiwa kushuhudiwa hii leo katika mahakama ya juu zaidi wakati ambapo jaji mkuu Dkt Willie Mutunga na naibu wake Kalpana Rawal watakapokabiliana.

Jopo la majaji watano linatarajiwa kuskiliza ombi la Rawal ambaye anapinga uamuzi wa kumstaafisha akiwa amefikisha umri wa miaka 70, akitaka kuendelea kuhudumu hadi miaka 74.

Tayari jaji Njoki Ndung’u amefika mahakamani kutaka tume ya huduma za majaji kusitisha uchunguzi dhidi yake.

  

No comments: