Na Sheldon Shimekha
Eden Hazard amemtia kiwewe mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte.

![]() |
| Mchezaji Hazard |
Hazard ambaye ni nahodha wa Ubelgiji alitoka uwanjani
akichechemea jambo lililo ashiria kwamba
ni majeruhi.
Hata hivyo Hazard anaitajika kukuiongoza kikosi cha Chelsea siku ya jumapili watakapo safari ugenini dhidi ya Midlisbrour.

No comments:
Post a Comment