![]() |
| Nicholas Gumbo |
Na Racheal Kithaka .
Mwenyekiti wa kamati ya bunge kuhusu uhasibu Nicholas Gumbo , amesema
kwamba stakabadhi walizo nazo,wanaendelea kuzidurusu.
Inadaiwa kwamba benki 28 humu
nchini zilihusika katika sakata ya NYS ambapo zilitumika kusambaza mabilioni ya
pesa katika idara hiyo.
Hata hivyo taasisi zinazo husika na kukabiliana na ufisadi zimeshutumiwa
vikali kwa kutotoa habari hizo ilhali inafaa kuwa wajibu wao .
Hayo yakijiri mhasibu wa wizara
ya afya ambaye alifichua sakata ya jumba la afya amefika mbele ya kamati ya
seneti kwa mahojiano zaidi .

No comments:
Post a Comment