| silaha zateketea |
Na Racheal Kithaka.
Waziri wa usalama wa ndani Joseph
Nkaissery ameongoza zoezi la kuteketeza silaha zinazomilikiwa kinyume cha
sheria humu nchini.
Zoezi hilo ambalo lilifaa kuongozwa na
rais uhuru Kenyatta,limefanyika katika eneo la Ngong.
Hafla hiyo ikiendelea jamii za maeneo
mengi humu nchini zinashuhudia mapigano ya kikabila huku jamii hizo zikitakiwa
kusalimisha silaha hizo kwa polisi.
Wizara ya usalama imetoa madai kuwa
zaidi ya silaha elfu mia saba zinamilikiwa na wananchi sheria
No comments:
Post a Comment