![]() |
| Kalonzo Musyoka na Johnson Muthama |
Baraza kuu la chama WIPER limedinda kueleza kuwa iwapo dhana inayoendelea kuwa kiongozi wa chama hicho Kolonzo Musyoka na seneta wa Machakos Johnson Muthama walitofautiana siku ya Ijumaa katika ziara ya Kolonzo huko ukambani.
Duru ziliarifu
kuwa Kolonzo na Muthama walikosana baada ya Muthama kusema
kuwa chama cha muungana Party kinachoongozwa na gavana Kibutha Kibwana
hakifai kuwa na wagombeaji katika eneo la ukambani madai ambayo chama hicho
kimekanusha.
Aidha
Muthama anadaiwa kuwa ana mpango wa kuzima ndoto ya Kalonzo ya kuwa mwaniaji wa
urais kupitia CORD na badala yake
kumuunga mkono Raila Odinga wa ODM.
Muthama
hakuhudhuria kikao hicho cha Wiper na badala yake alikuwa katika mkutano mwingine wa
CORD uliokuwa ukijadili masuala ya IEBC.

No comments:
Post a Comment