Tuesday, 15 November 2016

CORD YADAI KUNA NJAMA ZA KUBADILISHA TAREHE YA UCHAGUZI.


JAMES ORENGO

NA MWIRUKA WINFRED

Muungano wa upinzani CORD  umeiibua madai ya kuwepo njama za kubadilishwa tarehe ya uchaguzi.

 Maseneta  James Orengo na Jonestone Muthama wamedai kwamba maafisa wakuu wa IEBC wamekuwa wakifanya mikutano ya siri na naibu rais William Ruto. 

Orengo aidha  anasema serikali inashirikiana na makamishna wanaoondoka wa IEBC kubadili sheria za uchaguzi ili kuipa ushindi Jubilee.


No comments: