Tuesday, 5 April 2016

ICC YATUPILIA MBALI MASHTAKA DHIDI YA RUTO NA SANG

TAARIFA ZA HIVI PUNDE!

Ben Kirui

Mahakama ya Kimataifa ICC imetupilia mbali mashtaka dhidi ya naibu Rais William Ruto na mwanahabari Joshua arap Sang.
Majaji wa ICC wamesema kuwa Ruto na Sang hawana kesi ya kujibu.

No comments: