![]() |
Aliyekuwa naibu mkurugenzi wa NYS Aden Harakhe. |
Na Mwiruka Winfred.
Adan Harakhe na aliyekuwa naibu
mkurugenzi wa shurika la NYS amepata afueni baada ya mahakama kuzuia kukamtawa
kwake
Jaji wa mahakama kuu
Hedwig Ong’undi ameagiza pande husika katika kesi aliowasilisha jana zifike
mahakamani.
Aidha jaji huyo
amesema Harakhe yuko huru kwa sasa na hatakamtwa..
Harakhe anakabiliwa na
mashtaka ya wizi wa shilingi bilioni 1.6 za NYS. Kesi hiyo itasikizwa tena
tarehe 22 mwezi huu.
No comments:
Post a Comment