![]() |
winga wa Chelsea Willian |
Na shim Sheldon
Mkufunzi wa
Manchester United Jose Mourinho ametangaza kumwania Willian wa Chelsea katika
dirisha la usajili litakalofunguliwa januari.
Habari hizo zimezuka kutokana na
kutoshirikishwa kwa Willian katika mechi za hivi karibuni na Antonio Conte huku akimtumia Victor Moses kama chaguo lake
la kwanza.
Uhamisho huo unatajwa kuwa wa kima cha pauni million 25 lakini klabu
ya Chelsea aijaafikia uhamisho huo.
No comments:
Post a Comment