![]() |
Jakayo Midiwo na Duale wasemezana |
BY ROBERT MWANGI
Wabunge wa Jubilee wakiongozwa na kinara wa wengi bungeni
Aden Duale wameapa kutoidhinisha jina la mtoto wa kinara mwenza katika NASA
Kalonzo Musyoka kwa jina Kennedy Musyoka.
Naye mwenyekiti wa uchaguzi katika ODM Judith Pareno huenda
jina lake lisipite baada ya Jubilee na baadhi ya viongozi wa ODM hasa
walioanguka katika mchujo wakiongozwa na Jakoyo Midiwo kupinga uteuzi wake.
Naibu rais William Ruto kwa upande wake ameonya viongozi wa NASA dhidi ya kujawa na ubinafsi akisema kwamba hawana utaifa
No comments:
Post a Comment