Wednesday, 9 December 2015

Geoffry kizito majaribioni Uispania



 Na Lawrence Muyela


 
kizito akiwa kwa jazi la Gor mahia


Aliyeuwa mchezaji wa Gor mahia na Uganda cranes,Geoffry Kiziti “BABA”anatarajiwa kufanya majaribio na mojawapo ya vilabu vya Getafe na Tenerife vya Uspania kwa mujib wa Uganda portal kawowo sports.
Mchezaji huyu alipokihama kila cha Gor mahia na kujiunga na kilabu kimoja cha kule Viettnam ametia fora sana jambo amambalo limewavutia wapelelezi wa vilabu vya Getafe na Tenerife.
Ikiwa Kizito ataezakupita mtahani huo wa majaribio,atakuwa mganda wa kwanza kuchezea vilabu kinacho shiriki  ligi kuu Uspania.

No comments: