Friday, 11 December 2015

SEMENYA HATIMAYE AMEOA!!!!


Na KakaMusa,


Mwanariadha matata wa kike, CASTER SEMENYA Wa Afrika kusini amefunga ndoa.


Caster Semenya mbioni.
Habari za kuaminika zinasema kuwa SEMENYA alifunga ndoa ya kimila wikendi iliyopita.

Mwanariadha huyo alifunga pingu za maisha na mchumba wake VIOLET RASEBOYA ambapo sherehe zilifanyika katika wilaya ya CAPRICORN huko LIMPOPO.

Kinyume na hayo, ndugu zake wamekanusha habari hizo wakisema kuwa hizo zilikuwa sherehe tu za uchumba!

Semenya amekuwa akikumbwa na kashfa ya uhalisia wa jinsia yake! #Asante

No comments: