Wednesday, 16 March 2016

ERIC KIRAITHE ATEULIWA MSEMAJI WA POLISI.


Picha ya Eric Kiraithe

By Joan Kinyua

Aliyekuwa msemaji wa polisi, Eric Kiraithe, ameteuliwa kwa wadhifa wa msemaji mpya wa serikali kuu ya kitaifa. 

Kiraithe anachukuwa hatamu mara moja na atahudumu chini ya wizara ya maswala ya ndani na ushirikishi wa Majukumu ya Serikali ya Kitaifa.

Hadi kuteuliwa msemaji wa polisi amekuwa akihudumu kama mkuu wa usalama katika viwanja vya ndege nchini.

No comments: