![]() |
| Mbunge wa Lamu Mashariki Shariff Athman. |
By Lena Juliet
Maafisa wa polisi huko malindi wanachunguza madai mbali mbali ya kuwapa wapiga kura hongo katika uchaguzi mdogo unaoendelea mjini humo.
Polisi
walilazimika kufyatua risasi hewani katika tukio moja ili kutawanya kundi la
vijana lililomshambulia mbunge wa Lamu Mashariki Shariff Athman baada ya madai
ya kununua wapiga kura.
Mbunge wa Mwea Peter Gitau pia
ameokolewa kutoka mikononi mwa raia hususan wafuasi wa ODM ambao walimtumuhumu
kwa kuwapa wapiga kura hongo kabla hajawasilisha malalamishi katika kituo cha
polisi cha Kilifi.

No comments:
Post a Comment