![]() |
| Rais Mstaafu Mwai Kibaki na mke wa kwanza Lucy Kibaki |
Ben Kirui
Mke wa kwanza wa rais mstaafu Mwai Kibaki Mama Lucy Kibaki amefariki
akiendelea na matibabu Uingereza
Mama Lucy Amekua akipokea matibabu kwa muda wa mwezi mmoja uliopita humu
nchini na huko Uingereza.
Akitoa risala zake,Rais Uhuru Kenyatta amesema kwamba mama Lucy
atakumbukwa kwa mchango wake katika ustawi wa taifa hususan kuhusu maadili ya
uongozi na mchango wake kuimarisha vita dhidi ya maambukizi ya HIV.

No comments:
Post a Comment