![]() |
| Wanafunzi zaidi wa chuo kikuu cha Nairobi wafurushwa kwa kuhusishwa na ghasia zilizozuka chuoni. |
Chuo kikuu cha Nairobi kimewarejesha nyumbani wanafunzi 139 zaidi siku
moja baada ya wanafunzi 62 kupewa ilani ya kutimuliwa.
Chuo hicho
kimetaja hatua hiyo kama ya kinidhamu dhidi yao kwa kuhusika katika ghasia na
uharibifu wa mali, kufuatia ghasia na fujo
zilizoshuhudiwa katika bewa lake kuu baada ya uchaguzi wa mwenyekiti wa chama
cha wanafunzi SONU.
Wanafunzi
ambao wamehusishwa wameagizwa kuchukuwa barua za kufurushwa kwao kutoka bewa
kuu la chuo hicho kufikia ijumaa wiki hii.

No comments:
Post a Comment