Ben Kirui
Babu mmoja wa miaka 57 kutoka kijiji cha Nyathuna eneo bunge la Kabete kaunti
ya Kiambu anazuiliwa na maafisa wa polisi kwa madai ya kumpachika mimba mjukuu
wake wa kidato cha kwanza.
Msichana huyo amesema babu yake amekuwa akimdulumu kimapenzi kwa miaka
mitatu iliyopita tangu alipokuwa darasa la saba.
Nyanyake ameeleza kuwa msichana huyo amekuwa akihofu kujitokeza
hadharani kwa muda huo wote.
No comments:
Post a Comment