| vijana wanawasha matairi moto |
Na David Muli.
Shule kadhaa
na biashara zimefungwa mtaa wa Kibera
hapa Nairobi huku maandamano dhidi ya tume ya IEBC yakitayarjiwa kufanyika jijini.
Tayari vijana wamewasha matairi katika
barabara kadhaa za Nairobi ikiwemo ya
Jogoo na Uhuru.
Kwingineko maandamano yameanza kaunti ya Migoro barabara ya
Sirare kuelekea Kisii ikifungwa.
Polisi wameonya kuwa watawakabili
vikali watakaodhubutu kuandamana hapa Nairobi. Inspekta mkuu wa polisi Joseph
Boinet amewataka wanaCORD kuheshimu agizo la mahakama na kusimamisha maandamano hayo.
No comments:
Post a Comment