Sunday, 5 June 2016

MAJAJI AMBAO WAMEFIKISHA MIAKA 70 WANG'ATUKE OFISINI-LUMUMBA


Wakili PLO Lumumba

 Ben Kirui

Wakili PLO Lumumba ametoa wito kwa majaji wote waliotimia umri wa miaka 70 kuondoka ofisini kwa hiari ili kuwadhihirishia wakenya kwamba wanaheshimu sio tu sheria bali pia katiba walipokuwa wanasimamia na kuamua kesi mbalimbali.

Lumumba amesema hulka ya majaji wa mahakama ya juu zaidi kuwasilisha kesi katika mahakama ambapo wao pia ni majaji inawakanganya wakenya ambao wanawategemea kutoa ufasiri wa sheria.

No comments: