Wednesday, 8 June 2016

NAINGGOLAN KARIBU CHELSEA-HAZARD, COURTOIS.





Mchezaji wa AS Roma Radja Nainggolan.
Mwangi K. Githinji

Kiungo wa AS Roma Radja Nainggolan amefichua kuwa mastaa wa Chelsea Eden Hazard na Thibaut Courtois wanamshawishi ajiunge na miamba hao wa uingereza msimu ujao.
Mbelgiji huyo anayechezea  taifa la Ubelgiji pamoja na mastaa hao wawili ameelezewa kuwindwa na mkufunzi mpya wa Chelsea  Antonio Conte huku Naiggolan akifichua kuwa  tayari amekutana na Conte.
Naiggolan amekiri kuwa Conte anamuangazia japo ameeleza kwamba kwa sasa anawazia tu kulichezea taifa lake, katika michezo ya yuro ya mwaka huu.

No comments: