![]() |
| Mchezaji Blaise Matuidi. |
Na Mwangi K. Githinji.
Kiungo wa Paris Saint-Germain Blaise Matuidi aliondoka kutoka kwa kambi ya timu yake ya
taifa ya Ufaransa hapo jana na kusafiri
moja kwa moja hadi uingereza ili kuutatua mustakabali wake.
Habari hii imewaacha wengi
wakijikuna vichwa kuhusu klabu atakachokighuria kwa kuwa hakuweka wazi mipango
yake.
Haijulikani kama atajiunga na Manchester United,Manchester City ,Arsenal ama pengine hata klabu kingine kinachocheza kwenye ligi kuu ya EPL.
Haijulikani kama atajiunga na Manchester United,Manchester City ,Arsenal ama pengine hata klabu kingine kinachocheza kwenye ligi kuu ya EPL.
Matuidi mwenye umri wa miaka 29 anawakilishwa
na ajenti Mino Raiola ambaye pia anamuwakilisha staa Zlatan Ibrahimovic ambaye
tayari amejiunga na Manchester united.

No comments:
Post a Comment