Wednesday, 26 October 2016

UHONDO WA FRANCIS MWANGI.

NA  MTUTA MAJALA

Wanakandanda wa timu ya police fc


Mkufunzi wa Police FC Francis Mwangi ametetea  klabu yake kutokuwa na wasiwasi wowote kutokana na matokeo mazuri ya mahasimu wao wanaojitayarisha kukutana kwenye mchuano ujao.

Mwangi amehakikisha kutokuwa na shinikizo  licha ya yeye kusititiza  Mtanange huo hautakuwa rahisi hivyo ijapokuwa amekiri kuna uwezekano wa timu yake kushangaza wenyeji hao. 
Wanasalia katika nafasi ya kumi na nne kwenye jedwali baada ya  thelathini. 

No comments: