![]() |
| Alama ya tume ya uchaguzi na mipaka IEBC. |
Na Mwiruka Winfred.
IEBC imetoa majina ya watu
watano watakaohojiwa katika nafasi ya mwenyekiti mpya wa tume hiyo.
Tume hiyo ya uchaguzi na mipaka inapanga kuandaa kongamano ya vyama vya
kisiasa wakati wowote kujadili hatua zilizopingwa kwenye utekelezaji wa sheria
mpya za uchaguzi.
Mojawepo ya masuala makuu
yatakayojadiliwa ni pamoja na madai ya CORD yaliyoibuliwa ambapo tayari IEBC
imetuma taarifa kudai kuwa CORD inapotosha umma kwa kudai kuwa tume hiyo
inahujumu utekelezaji wa sheria hizo.

No comments:
Post a Comment