Wednesday, 16 November 2016

MMLIKI WA JENGO LILILOPOROMOKA KISII ATIWA NGUVUNI

Na Racheal Kithaka
Jeremiah Matokeo ambaye ni mmliki  wa jengo lililoporomoka mjini Kisii na kusababisha vifo vya watu tisa amekamatwa hii leo.

jengo lililoporomoka mjini kisii 
Mmliki huyo amewekwa korokoroni katika kituo cha polisi cha central mjini kisii ambapo ameandikisha  taarifa katika idara ya jinai

NCA ambayo ni  Mamlaka ya ujenzi nchini iimetoa madai kwamba alikiuka sheria kwa kujenga jengo la orofa 10 badala ya tano aliyoidhinishwa kujenga.

 Anatarajiwa kufikishwa mahakamani hapo  kesho ili afungukiwe mashtaka ya mauaji
.

No comments: