![]() |
| Martha Karua - Kiongozi NARC Kenya |
Aliyekuwa mgombeaji rais mwaka elfu mbili kumi na tatu Martha Karua na ambaye ni kiongozi wa NARC Kenya, amesema kuwa atamuunga mkono rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi mkuu ujao.
Karua aidha amesema
kuwa atagombea ugavana katika kaunti ya Kirinyaga mwaka wa 2017 na kuwa haungi mkono muungano wowote ule.
Vile vile amesisitiza kuwa atasalia kuwa katika chama cha NARC Kenya katika uchaguzi mkuu ujao.

No comments:
Post a Comment