Robert Mwangi
Rais wa Marekani
anayeondoka Barrack Obama kwa mara ya kwanza kabisa amekutana na rais mteule
Donald Trump katika ikulu ya marekani White House.
![]() |
| Obama akutana na rais mteule wa Marekani Donald Trump. |
Hii ni baada ya Trump kumpiku mwaniaji wa urais kupitia chama cha Democrat
Hillary Clinton ambaye ameshambikiwa sana na Obama katiza kampeni zilizopita.
Licha ya cheche za maneno walizorushania katika kipindi cha
kampeni wawili hao walikutana na kujadili masuala yenye umuhimu wa taifa hilo
la Marekani.

No comments:
Post a Comment