Thursday, 10 December 2015

BEEF sio kama DISS, tofauti ni .....



 Na KakaMusa,

Watu wengi haswaa mashabiki wa muziki hawafahamu kuwa BEEF na DISS ni vitu viwili  tofauti kabisa.
Msanii na Produsa Mitaa Kisauni

Msanii na prudusa wa muziki wa kizazi cha sasa aina ya Hip Hop, Mitaa Kisauni, amesema kuwa ni muhimu kwa watu kutofautisha haya mawili.

Akizungumza na Kituo cha @ecnradio 99.9fm mixlr.com/new-ecn-radio katika kipindi cha #ECNAlasiri, Mitaa amesema kuwa BEEF ni chuki na hasira ilhali DISS ni utani na kuchongoana tu.

BEEF ni gundu na bonge la jealous lakini DISS ni utani au magoa,” alisema Mitaa siku ya Ijumaa.
Mitaa Kisauni alikuwa katika media tour huku akiandamana na msanii mwenzake Katoi Wa Tabaka. #Asante

No comments: