![]() |
| senetor wa madera billow kerrow (kulia) pamoja na viongozi wengine wa mandera wakati akiomba msamaha kwa umma kuhusiana na makaburi ya halaiki eneo la lathe kaunti ya mandera. |
By Dennis Milimo
Seneta wa mandera billow kerrow ameomba
msamaha kwa umma kuhusiana na madai aliyokuwa ametoa hapo awali kuhusiana na
kupatikana kwa makaburi ya halaiki katika eneo la lathe kaunti ya mandera
mapema wiki hii .
Hii inajiri baada ya waziei wa usalama wa
ndani joseph nkaisserykumwamuru kuomba msamaha la sivyo achululiwe hatua za kisheria.
Makaburi ya halaiki yaliyokisiwa kuwa na
miili ya watu zaidi yalipatikana
bila watu baada ya polisi kuyachimbua.
Kulingana na nkaisssery mwanamke
aliyepatikana katika mojawapo ya makaburi hayo, anakisiwa kuwa na uhusiano na
kundi la kigaidi la al shaab. Huku akikana kuwa serekali kuhusika katika
mauwaji hayo.
Nkaissery pia amewata wanahabri mohhamed ali pamoja na
yassin juma kuomba msamaha kwa wakenya kwa kile anadai kuwa ni kupotosha umma.
No comments:
Post a Comment