Na KakaMusa.
Msanii wa Bongo Fleva na Hit maker wa #Kwaajiliyako,
#Utapenda na #Mdogomdogo, Hussein Machozi, ametangaza kustaafu katika mziki.
Akizungumza na kitua kimoja cha redio cha kule Tanzania, Hussein
amesema kuwa atawachia ngoma moja ya mwisho.
“Nitakuwa mtu wa kawaida na nitaishi maisha yangu ya
kawaida.” amesema Hussein.
Wadadisi wa muziki wanadai kuwa huenda hatua ya Hussein
imefuatia muziki wake kutopata mafanikio aliyotarajia.

1 comment:
Na venye napenda ngoma zake akii
Post a Comment