Wednesday, 9 December 2015

Hussein Machozi aacha Muziki!!


Na KakaMusa.




Msanii wa Bongo Fleva na Hit maker wa #Kwaajiliyako, #Utapenda na #Mdogomdogo, Hussein Machozi,  ametangaza kustaafu katika mziki.
Hussein Machozi.
 Akizungumza na kitua kimoja cha redio cha kule Tanzania, Hussein amesema kuwa atawachia ngoma moja ya mwisho.

“Nitakuwa mtu wa kawaida na nitaishi maisha yangu ya kawaida.” amesema Hussein.


Wadadisi wa muziki wanadai kuwa huenda hatua ya Hussein imefuatia muziki wake kutopata mafanikio aliyotarajia.

1 comment:

Anonymous said...

Na venye napenda ngoma zake akii