Tuesday, 29 December 2015

Polsi auwawa Mtaa wa Mabanda

na Elvis Owuor
afisa mmoja wa polisi aliuwawa kwa mrututu wa risasi na washukiwa wa ujambazi kutoka mitaa ya ya mabanda ya kibra na mukuru huku wengine wawili  wakijeruhiwa kwenye ufyatulianaji.
vioja na ving'ora  hivi vilianza eneo la kibra ambapo washukiwa watatu waliuwawa kabla ya mmoja wao kukumbana na mauti yake mtaa wa Mukuru ambapo inadaiwa alifaulu kumwua afisa mmoja na kujeruhiwa wawili.
Aidha, kulinga na afisa msemaji wa polisi  Japheth Koome ni kuwa katika makabiliano hayo bunduki mbili aina ya Pistol na kifaa cha mazungumzo viliweza kunaswa.
Koome hatimaye alisema kuwa genge hili linahusishwa na kifo cha afisa aliyeuwawa katika eneo la kibra na kisha kunyang'anywa bunduki yake jumamosi wiki jana.

No comments: