Wednesday, 30 December 2015

SHULE ZA KIBINAFSI KUONGOZA KWANYE MATOKEO YA KCPE

Na Julius Kariithi

Waziri wa elimu Dkt .Fred Matiang'i , aliyatangaza matokeo ya mtihani 

wa KCPEleo tarehe 30 Desemba 2015

Shule za kibinafsi zimefanya vyema zaidi katika mtihani wa kitaifa wa kcpe kuliko shule za umaa ,wakati matokea hayo yametangazwa rasmi hii leo.
Waziri wa elimu, Dkt Fred Matiang’i, dakika chache zilizo pita ameonyesha kuwa matokea ya jumla, yameshuka kwa alama saba ikilinganishwa na  ya mwaka uliopita, japo hajazungumzia kwa kina matokeo hayo ya mtihani huo,huku  alimkabidhi wakurugenzi wa elimu katika kila kaunti matokeo hayo.
Aidha waziri huyo ameipa changamoto idara husika ya mtihani wa kitaifa Knec, kuchukua hatua kali kwa wanaopatikakani wakijihusisha na wizi wa mtihani, huku akisema kwambi hakuna njia nyingine ya kujinasua.

Kwa sasa wazazi na wanafunzi waweza kupata matokeo hayo kwa kutuma nambari zao za usajiri wa mtihani ,kupitia nambari ifuatayo 22252.

No comments: