Ben kirui
Afisa mmoja wa polisi ameuwawa baada
ya kupigwa risasi na kundi la majambazi katika mtaa wa Dandora hapa Nairobi.
Mshukiwa
mmoja wa ujambazi pia ameuwawa kwenye ufyatulianaji wa risasi baina ya
washukiwa hao na polisi usiku wa kuamkia leo. Polisi wanaendesha msako wa
washukiwa wengine wanne waliofanikiwa kutoweka.

No comments:
Post a Comment