![]() |
| Waziri Fred Matiang'i katika ukumbu wa Mitihani House |
Hii leo Waziri wa Elimu Fred Matiang'i ametangaza rasmi matokeo ya mtihani ya kidato cha nne iliofanywa mwishoni mwa mwaka jana. Katika hotuba yake Waziri Matiang'i amefichua kwamba kati ya kaunti zote arubanne na saba ni kaunti ya Isiolo pekee iliofanikisha zoezi ya kufanya mtihani bila kuhusika na uwizi wowote. Aidha kuna baadhi ya kaunti zilizohusika na uwizi zaidi wakiongozwa na Kaunti ya Nairobi, Makueni na Meru mtawalia.

No comments:
Post a Comment