Ben Kirui
Polisi wa trafiki, waliokuwa wakipiga doria katika barabara ya Southern Bypass waliwaona samba hao na kuwapasha habari maafisa wa KWS ambao wameanza operesheni ya kuwatafuta wanyama hao.
Wanyama hao wameonekana wakitembea karibu na ua unaozunguka msitu wa barabara ya Ngong, karibu na kituo cha idara ya misitu ya Kenya (KFS).

No comments:
Post a Comment