![]() |
| Bastian na mchumba wake Ana. |
Mchezaji wa timu ya Ujerumani na Manchester United anatarajiwa kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Ana Ivanovic.
Sherehe hiyo itafanyika mnamo terehe 12 mwezi ujao wa Julai pindi tu baada ya kukamilika kwa michuano ya yuro inayooendelea.
Schweinsteiger na Ivanovic ambaye ni mchezaji wa tenesi wanaripotiwa kuwa tayari washatuma barua za mwaliko japo orodha kamili ya walioalikwa bado haijawekwa wazi huku pia taarifa kuhusu mahala ambapo harusi hiyo itafanyika ikibanwa.

No comments:
Post a Comment