![]() |
| Usajili wa wapiga kura nchini |
By Lena Juliet.
Hii leo ndio siku ya mwisho kabisa ya
usajili wa wapiga kura, zoezi ambalo limekuwa likiendelea kwa mwezi mmoja
uliopita kote nchini.
Tume hiyo imefeli kutimiza lengo
lake la idadi iliyotarajiwa ya usajili wa wapiga kura wapya millioni nne.
Wapiga kura wengi wamelalama kuhusu
kutopewa uhamasisho wa kutosha, kukosa vitambulisho na vijana wakikashifu
serikali kwa uongozi mbaya.
IEBC kwa upande wake inashikilia
kwamba haitaongeza muda wa usajili wa watu kutokana na uhaba wa fedha.

No comments:
Post a Comment