Tuesday, 8 March 2016

MAFURIKO YAWAACHA WATU BILA MAKAO ISIOLO

Mafuriko baada ya mvua kubwa.
By Lena Juliet


 Familia zaidi ya tisini na Mbili wameachwa bila mahala pa kukaa baada ya nyumba zao kusombwa  na mafuriko usiku wa kuamkia leo kaunti ya isiolo.

Kulingana na shirika la msalaba mwekundu maeneo ya Wadera na Mwangaza ndiyo yalioathirika zaidi na mafuriko hayo yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha eneo hilo.

Aidha shirika hilo linatarajiwa kuzuru eneo hilo kuwapa misaada ya chakula, mavazi na hema waathiriwa hao.

No comments: