![]() |
| Mashine ya kutibu saratani katika hospitali ya Aga Khan |
Ben Kirui
Hospitali ya
Aga Khan imeahidi kuwalipia matibabu wagonjwa wa saratani kutoka nchini Uganda
kufuatia kuharibika kwa mashine inayotibu ugonjwa huo nchini Uganda.
Hospitali hiyo imesema kwamba inaweza
toa huduma ya matibabu kwa idadi ndogo ya wale wanaohitaji uuguzi.
Serikali ya Uganda tayari ilikuwa
imetangaza kuwa itawasafirisha wagonjwa hao kupata matibabu humu nchini.

No comments:
Post a Comment