![]() |
| WANACORD NA WANANCHI |
na DAVID MULI
Makabiliano yanendelea
kushuhudiwa kuhusu atakayeruhusiwa
kuandaa mkutano katika bustani ya Uhuru siku ya Jumatano kati ya mrengo wa CORD
na kanisa la Prayers Beyond Boundaries. Hii ni baada ya kinara wa CORD Raila
Odinga kusisitiza kuwa mkutano wao utaendelea japo wanalenga kuutumia kushiriki
maombi na kuwa hautatumika kisiasa. Raila amepuuzilia mbali onyo kutoka kwa
waziri wa usalama Joseph Nkaissery kuhusu kuandaliwa kwa mkutano huo siku hiyo
ya madaraka dei.

No comments:
Post a Comment