Saturday, 28 May 2016

JE, NI CORD AU DINI WATAFANYA MKUTANO WA MADARAKA UHURU PARK?

Kinara wa Cord Raila Odinga
Na Ben Kirui

Kinara wa Cord Raila Odinga amesisitiza kwamba muungano wa Cord utaandaa mkutano wa hadhara katika uwanja wa Uhuru hapa Nairobi siku ya jumatano licha ya baadhi ya viongozi wa kidini kushikilia kwamba wanapanga kutumia uwanja huo siku hiyo.


Haya yanajiri huku rais Uhuru Kenyatta akitarajiwa kuogoza taifa katika kuadhimisha sherehe za madaraka katika uwanja wa Afraha mjini Nakuru. 

No comments: