![]() |
| Kipa wa Posta Rangers Ian Otieno. |
Mwangi K. Githinji.
Chipukizi huyo anaripotiwa kutofautiana
na kocha wake Zedekiah Otieno hali
maarufu 'Zico' na anaelezewa kuwa tayari AFC na Posta wamekubaliana kuhusu
uhamisho wake.
Usajili wake ni habari nzuri kwa Ingwee
ambao wamempoteza kipa wao Lucas Indeche ambaye atafanyiwa upasuaji wa bega
lake huku pia wakimuangazia kipa Gabriel Andika.

No comments:
Post a Comment