Thursday, 23 June 2016

GIGGS KUGHURA UNITED NA KWENDA NOTTS.

Aliyekuwa nyota wa Ryan Giggs.
Na Mwangi K. Githinji.

Ryan Giggs anakaribia kuteuliwa kama meneja wa klabu cha Nottingham Forest kinachoshiriki ligi ya daraja la kwanza .

Giggs mwenye umri wa miaka 42 ambapo amekuwa na united kwa kipindi cha miaka  29 tangia alipokuwa chipukizi.

Inasemekana kwamba Giggs alikataa ofa ya kocha Jose Mourinho ya kufanya kazi na timu ya vijana baada yake kumteua Luis Faria kama naibu wake.


Kigogo huyo alikuwa anatarajia kuchukua hatamu huko Old Trafford kabla ya ujio wa Mourinho , alipoachishwa kazi mkufunzi Luis Van gaal.

No comments: