![]() |
| Mke wa Vardy Rebekah. |
Na Mwangi K. Githinji.
Baada
ya mchezaji wa Leicester City Jamie Vardy kusaini mkataba mpya na klabu hicho
sasa mke wake amewaponza baadhi ya mashabiki wa Leicester na Arsenal ambao walimkemea wakati mume wake
alikuwa anahusishwa na kwenda Emirates.
Rebeka amewasuta mashabiki hao
ambao walikuwa wameamini kwamba Vardy alikuwa ameghuria Arsenal na hasa
waliomtuhumu kuwa ndiye alikuwa amemshawishi aondoke huku akiwaonya kuwa wanafaa kuomba msamaha.
Awali ilikuwa imeripotiwa kuwa
Vardy alikuwa amekubali kujiunga na Arsenal kwa ada ya yuro milioni 20.
Lakini amewashukuru wote ambao waliendelea kumuunga mkono.

No comments:
Post a Comment