![]() |
| Jubilee na Cord kuanza mdahalo kuhusu suala tata linalokumba IEBC |
Ben Kirui
Mdahalo kuhusu suala tata linalozingira tume huru ya uchaguzi nchini IEBC na hatima ya tume hiyo utaanza kwa muda wa siku mbili zijazo.
Naibu wa rais William Ruto amedokeza hayo wakati wa ibada ya kanisa katika kanisa la Jeshi la Wokovu eneo bunge la Tarbo kaunti ya Uasin Gishu.
Ruto ameelezea matumaini ya kupatikana kwa suluhu wa utata unaozingira tume ya IEBC siku chache zijazo ili kupisha mdahalo utakaotumika kama jukwaa la kuzungumzia jinsi ya kuifanyia IEBC mabadiliko.

No comments:
Post a Comment