![]() |
| Mwamuzi Herber Lopes na kahaba wawili. |
Na Mwangi K. Githinji.
Mwamuzi mmoja anaripotiwa kusheherekea kuhusishwa kwake kwenye mechi ya fainali ya
michuano ya Copa America wakati Chile ilipokabiliana
na Argentina kwa kuponda raha na makahaba wawili.
Kwenye mechi hiyo refarii Heber Lopes alipatiana kadi za njano
tisa huku akiwafurusha wachezaji wa Chile na Argentina Marcelo Diaz na Marcos
Rojo mtawalia ambapo alikashifiwa sana kutokana na maamuzi mengi aliyofanya ya
utata.
Kando na hayo kanda inayomuonyesha Lopes akijiburudisha na kahaba
hao imeendelea kuvunja kwenye mitandao ya kijamii.
Takwimu zinaonyesha kwamba mwamuzi huyo ametoa kadi 14 nyekundu
kwenye mechi 27 za mwisho alizozisimamia.

No comments:
Post a Comment